SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Kituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora. Show all posts
Showing posts with label Kituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora. Show all posts

Tuesday, January 21, 2014

Kituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora

PIX 1
Mwakilishi wa Kampuni ya ukaguzi ya ACM Tanzania Tawanda Manyuchi (kushoto) akipeana mkono na Meneja Mwandamizi wa Benki ya Exim – Mafunzo na Maendeleo Priti Punatar kabla ya kukabidhi cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango cha ISO kwa kituo cha mafunzo cha benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Akishuhudia wapili kushoto ni Meneja Msaidizi Mafunzo na Maendeleo Japhet Kemboi. (Picha na mpiga picha wetu).