Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV Farm linalomilikiwa na
kampuni ya Olam Bwana Medappa Ganapati akimuonesha Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema wakati Rais
alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa katika kijiji cha Lipokela,
wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma Jana
Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV Farm linalomilikiwa na
kampuni ya Olam Bwana Medappa Ganapati akimuonesha Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema wakati Rais
alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa katika kijiji cha Lipokela,
wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miche bora ya kahawa
mkulima mdogo Bi Dorothea Komba wakati alipolitembelea na kukagua shamba
la kahawa AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam katika kijiji cha
Lipokela wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma jana .Kampuni ya Olam imepanga
kutoa jumla ya miche milioni tatu kwa wakulima wadogo elfu mbili katika
vijiji vinne vinavyozunguka shamba hilo katika kipindi cha miaka mitano
ili kuwashirikisha kuzalisha kahawa bora.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto
0 comments:
Post a Comment