Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu
ya Taifa ya riadha inayoondoka leo Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.

Wakimsikiliza kwa makini Rais
Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka
leo Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya
ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa
timu ya Taifa ya riadha inayoondoka leo Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya
kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na
kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe
Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wachezaji na viongozi wa
timu ya Taifa ya riadha inayoondoka leo Julai 16, 2014 kwenda
Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wachezaji
na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka leo Julai 16, 2014
kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye
hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na
kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe
Juma Nkamia na wadau wa michezo.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment