SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, July 24, 2014

MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFUNGULIWA JIJINI DAR LEO

   Gavana wa Benki Kuuya Tanzania,  Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo julai  23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi  Bashir Mrindoko.
     Katibu Mkuu Kiongozi , Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo julai  23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose  Migiro na (katikati)  Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-  Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi  (PDB),  Bw. Omari Issa.
 Naibu Waziriwa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai  23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati)  akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyikaleoJumatanoJulai  23,  2014  katikaukumbiwaMwalimuNyerereJijini  Dar es  Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe  (kulia) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai  23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kutoka (kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Mhe. Shukuru Kawambwa,  Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe.  Mwigulu Nchemba,  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,  Eliakim Maswi.  
 
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO

0 comments:

Post a Comment