SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, June 27, 2014

MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA YANGA MAXIO MAXIMO JIJINI DAR LEO 26, June, 2014

Maximo akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari waliofika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo kumpokea.
mashabiki wa Yanga wakimsindikiza na wengine wakimpokea wakati alipowasili kwenye Klabu ya imu hiyo iliyopo mitaa ya Jangwani, leo .