SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 10, 2014

BONDIA KING CLASS MAWE AREJEA NA UBINGWA WA WPBF, AMCHAPA MZAMBIA KWA K/O

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Venance Mwamoto (kushoto) akipozi na Bondia Ibrahimu ‘King Class Mawe’ na mashabiki wake baada ya kumpokea aliporejea nchini na mkanda wa WPBF, kwa kumchapa mpinzani wake. Mzambia Mwansa Kabinga, kwa K/O katika raundi ya 9, na  kufanikiwa kunyakuwa ubingwa huo. Wa pili  (kushoto) ni bondia Shomari Milundi, (kulia) ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers Masamu.
 
NA SUFIANI MAFOTO