Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi
jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es
Salaam, litakalotoa huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo
watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB
Tanzania Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo
Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Shariah wa
benki hiyo Uzairu Athuman. Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akimkabdhi hundi
yenye thamani ya shilingi Milioni kumi,Mwenyekiti wa yatima group trust
fund Winfrida Lubanza kwaajili ya kuendeleza kilimo cha kisasa wakati wa
uzinduzi tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya
Lumumba jijini Dar es Salaam.kushoto ni ni Mwenyekiti wa bodi wa benki
hiyo Dr.Edmund Mndolwa na watatu toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
KCB Tanzania Moezz Mir.
Wednesday, March 19, 2014
MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, March 19, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook