Kikundi
cha ngoma ya asili ya Kigogo kikitoa burudani kabla yakuanza matembezi
kwaajili ya kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji
nchini.yaliofanyika katika kata ya CHIBELELA wilayani BAHI
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa tayari kuongoza maandamano.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Watatu
kulia, ni Katibu wa CCM Tawi la Chibelela Bahi, Tito Lusinde akiwa
pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejipanga kumpokea Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Wakaazi wa kata ya Chibelela wilayani Bahi nao wakiwa tayari kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.akipanda Mti wakati wa matembezi
kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa
miundombinu ya maji nchini.matembezi hao yalifanyika katika kata ya
Chibelela wilayani Bahi
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa akipanda Mti wakati wa matembezi hao.
Ujumbe
Wanafuzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakiwa wamesimama na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Kushoto.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, pamoja na
viongozi wengine wakiwa kwenye matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga
kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.
yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi
Matembezi yakiendelea
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia baada ya matembezi
kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa
miundombinu ya maji nchini. yaliofanyika katika kata ya Chibelela
wilayani Bahi
Mwakilishi kutoka Water Aid, Herbat Kashililah akisisitiza jambo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wakati akitoa hotuba yake.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wakati akitoa hotuba yake.
Kushoto
ni Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa
wakicheza mziki aina ya kwaito mara baada ya kumalizika kwa matembezi
kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa
miundombinu ya maji nchini.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua
matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu
utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya
Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya
Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice
Mkwawa.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON DODOMA