SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, March 11, 2014

MKUTANO WA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA NA VYOMBO VYA HABARI

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Z. Msangi  akiongea katika mkutano huo na waandishi wa habari
 Bwana Felix Mwakyembe ambaye pia ni mwandishi wa Habari akimsikiliza kwa umakini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Katibu wa Mbeya Press  Club  Bwana Emanuel Lengwa akiuliza swali wakati wa mkutano huo
 Mwandishi wa habari Bwana Goldon Galulunga akiuliza Swali


Waandishi wa Habari kazini

Picha na Mbeya yetu Blog

0 comments:

Post a Comment