Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum
la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya
Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa
Nzega Hamisi Kigwangala.
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum
la Katiba Samwel Sitta akionesha fomu ya uenyekiti aliyochukua leo
Kushoto ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi
Kigwangala na Kulia ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw. Paul Makonda.
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta
akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya Kuchukua fomu hizo na
kuahidi kufanya kazi kwa Kasi naViwango.Picha Zote na Hassan Silayo-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment