SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, March 10, 2014

Aliyewahi kuwa mkuu wa kitengo cha maafa katika ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Bakari Shaabani Azikwa Rasmi kijiji kwao kisakasaka Wilaya ya Magharibi Unguja.

 Wanajeshi wa KJeshi la Wananchi wa Tanzania wakijiandaa kubeba jeneza la Meja Janerali Mstaaf wa JWTZ Bakari Shaban,baada ya kusaliwa na kuaza shughuli za Kijeshi kuingiza garini mwili wa marehemu kwa matayarisho ya kuusafirisha kijiji kwao kisakasaka Wilaya ya Magharibi Unguja jana
Makamanda wa JWTZ wakitembea kwa mwendo mwili huo katika msikiti wa miembeni Zanzibar.wa pole wakiwa na jeneza la mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaaf Bakari Shaban, baada ya kumaliza taratibu za familia kuusalia 
 Wakiwa wamembeba jeneza wakitoka katika msikiti wa miembeni Unguja baada ya kumaliza kuusalia leo jioni baada ya sala ya lasiri
Wananchi wakibeba jeneza lililokuwa na mweili wa Meja Jenerali Mstaaf Bakari Shaban, wakiwa nje ya msikiti wa miembeni tayari kuelekea katika makaburi ya kisakasa kwa mazishi jana.Picha zote na Othman Mapara-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment