SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 7, 2013

Magazeti yanayoandika habari za uchochezi yaongezewe adhabu



Serikali imependekeza ongezeko la adhabu kwa magazeti yanayochapisha habari zinazoweza kusababisha uchochezi au uvunjifu wa amani katika jamii kutoka faini ya shilingi elfu 10 na 5 hadi kiasi kisichopungua shilingi milioni 5.

0 comments:

Post a Comment