SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, June 1, 2013

WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

untitled27 cb0df
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu akimkabidhi Bi. Selina Otacho mshiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana wahitimu wa vyuo vikuu kutoka maeneo mbalimbali mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6 zilizotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kutokana wazo lake la mradi wa utengenezaji wa sabuni za maji kushinda baada ya kupitiwa na wataalam wa Baraza la Uwezeshaji (NEEC) na Kituo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam
untitled28 601ae
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu akiwaonesha washiriki wa mafunzo mafunzo ya kuwajengea Uwezo vijana wahitimu wa vyuo vikuu kutumia fursa zinazowazunguka kujiajiri wenyewe moja ya sabuni ya maji iliyowekwa katika vifungashio vya kisasa na kuahidi kuunga mkono juhudi zake za kupambana na umasikini.
untitled29 52485
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu akiwa katika picha ya pamoja na vijana wahitimu wa vyuo vikuu kutoka mikoa mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya wiki 3 ya kujengewa uwezo wa kutumia fursa zinazowazunguka kujiajiri na kuajiri vijana wengine leo jijini Dar es salaam
Na Majjid Mjengwa

0 comments:

Post a Comment