SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, June 5, 2013

UPDATE: Shughuli Ya Kuaga Mwili Wa Ngwea Yaanza Leaders

Zoezi la kumuaga mwanamuziki wa kizazi kipya, Albert Keneth Mangwea ndio unaoendelea kwa sasa katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Baada ya zoezi hili waombolezaji wataanza msafara wa kuelekea Kihonda Morogoro ambako ndipo mwanamuziki huyo aliyethibitika kuwa kipenzi cha wengi atakapopumzishwa katika nyumba yake ya milele.
Umati mkubwa wa watu wanaonekana wakimiminika katika viwanja hivyo kumuaga.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.

Wadau wakiweka sawa mwili 
 Hii inahitaji moyo sana
Ok, ..sawa
 ...umati...
 ..waombolezaji maalum...
Diamond akiaga... 
Shughuli inaendelea...
CHANZO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment