SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 4, 2013

Mwili wa Mwanamiziki Mashuhuri Nchini Marehemu Albert Mangwea Aliyefariki Nchini Afrika ya Kusini Wawasili Nchini Leo

Gari maalum la Kubeba Mwili Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari tayari kwa kubeba mwili.
Ni ngumu kuamini kitu kwa kuambiwa, mpaka ushuhudie, na ukishuhudia, lazima hisia zitakuja.

Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.
Wadau kibao wapo uwanja hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.

Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akiwa na Produza Lamar wa Fish Crab akihojiwa na vyombo vya hapari uwanjani hapa.

Prof. Jay akiwa na Produza Lamar nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.

Wadau.

Watu kutoka kila pembe ya jiji la Dar wakiwa uwanjani hapa kuupokea mwili wa Msanii wao.
Wanahabari wakitafakari jambo.

Wakiwa wamejipanga tayari kwa kuubeba mwili wa Marehemu Mangwea.

Mkurugenzi wa Zizzou Fashion,Othman Tippo (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau waliofika uwanjani hapo.

Wasanii mbali mbali wapo uwanjani hapa hivi sasa.

Madee akimzungumzia Marehemu Mangwea.

CHAZO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment