SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 6, 2013

Msichana wa Tanzania Anayesemekana Atanyongwa Ijumaa huko Misri

Hizi ndo picha za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala 
Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya nchini Misri. 


Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa, Chini ni Video yake
Akiwa na Mtoto wake
Akiwa na Boyfriend wake.

Hii ndio video ikionesha alivyokamatwa.



CHANZO BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment