SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 4, 2013

MOURINHO ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA, ASAINI MKATABA MIAKA MINNE

jose2 f8870
jose 696cd Mourinho akionesha uzi wa Chelsea mara baada ya kutambulishwa Mourinho amesaini Mkataba wa miaka minne na atarejea katika klabu ambayo alishinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, Kombe la FA na mawili ya Kombe la Ligikati ya mwaka 2004 na 2007.
Ametua na wasaidizi wake katika benchi la ufundi ambao ni Rui Faria, Silvino Louro na Jose Morais, ambao watafanya kazi pamoja na benchi la ufundi la sasa la timu ya kwanza, Steve Holland, Christophe Lollichon na Chris Jones,"ilisema taarifa ya Chelsea.

0 comments:

Post a Comment