Taswira wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyeambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete alipotembelea hospitali ya St Elizabeth jijini Arusha Mei 7, 2013 kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita.(PICHA NA IKULU).
Ifuatayo ni video ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati alipotembelea Mei 7, 2013 katika kanisa la Mtakatifu Joseph kitongoji cha Olasiti jijini Arusha lililoshabuliwa na magaidi Jumapili iliyopita..
IFUATAYO NI VIDEO YA BABA PAROKO WA KANISA LA OLASITI LILILOSHAMBULIWA NA BOMU ARUSHA AKIONGEA.
Video ya Rais Kikwete alipoongea na Wanahabari Baada ya Kutoa Pole kwa Wafiwa na Majeruhi wa Waathirika wa Mlipuko Wa Bomu Kanisa La Olasiti, Arusha.
VIDEO YA RAIS KIKWETE NA MAASKOFU WA ARUSHA WAKIOMBEA AMANI.
0 comments:
Post a Comment