Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, (hawapo pichani)katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,
Baadhi ya watendaji na Maofisa katika Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi.
Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment