SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 13, 2013

Jambazi ameuawa na wananchi wenye hasira wilayani Morogoro


Jambazi mmoja ameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya majambazi watano kuvamia soko la ndizi la mwanzo mgumu la wilayani morogoro wakiwa na silaha aina ya smg kujeruhi watu wawili na kupora fedha.

0 comments:

Post a Comment