SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 15, 2013

Mstahiki Meya Jerry Silaa abariki Bonanza la Stakishari Veterans FC kutimiza miaka 5 kwa kuonyesha ufundi wa kupiga penati.

Picha juu na chini ni Mgeni rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akizungumza wananchi pamoja na washiriki wakati wa bonanza la timu ya Stakishari Veterans FC kutimiza miaka 5 ambapo amesema mpira wa soka unawakutanisha watu na kuwasidia kujenga mahusiano pamoja na kujenga afya za miili yao.
Picha juu na chini Mgeni rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akikabidhi jezi na mipira kwa baadhi ya timu 17 zilizoshiriki katika bonanza hilo.
Diwani wa Kata ya Kipawa Mheshimiwa Bonna Kaluwa akigawa jezi na mipira kwa timu zilizoshiriki Bonanza la Stakishari Veterans kutimiza miaka 5.
Mgeni rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akijiandaa kupiga penati kuashiria ufunguzi wa Bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya Stakishari kata ya Gongo la Mboto jijini Dar.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akionyesha ufundi na kufunga goli wakati akipiga penati ya kuzindua rasmi bonanza la Stakishari Veterans FC kutimiza miaka 5.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akipongezwa na Golikipa aliyemfunga goli kwa penati wakati akizundua Bonanza hilo.
Mgeni rasmi Mstahiki Meya Katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa timu ya Stakishari Veterans FC iliyofanya Bonanza la kutimiza miaka 5 Kipawa jijini Dar.
Bonanza likirindima katika viwanja vyaStakishari Kipawa kata ya  Gongo la Mboto baada ya kupewa baraka na Mstahiki Meya Jerry Silaa.
Timu zilizoalikwa kushiriki Bonanza la Sitakishari VSC New Ukonga Veteran:-
 – Ukonga Pugu Kajiungeni Veteran 
– Pugu Pugu Kigogo Fresh Veteran 
-Pugu Segerea Veteran – Tabata Kivule Veteran 
– Kivule Kipunguni B Veteran
 – Kipunguni Kinyerezi Veteran 
– kinyerezi Tabata Veteran 
– Tabata Bandari Veteran
 – Kurasini Mbagala Veteran 
– Mbagala Makangarawe Veteran 
– Mbagala Airport Veteran 
– Airport Kisukulu Veteran 
– Kisukulu Tabata Kigamboni Veteran 
– Kigamboni Vingunguti veteran 
– Vingunguti Wenyeji Sitakishari veteran

0 comments:

Post a Comment