SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 12, 2013

Moto Wateketeza Bweni La Wasichana Katika Shule Ya Sekondari Parakuyo.


Moto mkubwa umezuka katika bweni la wasichana katika shule ya sekondari ya wafugaji ya Parakuyo wilayani kilosa mkoani Morogoro na kutekezeza vitu vyote zikiwemo nguo za wanafunzi madaftari vitanda na magodoro.

0 comments:

Post a Comment