Mtoto Hanifa Salum Hassan mwenye umri wa miaka mitano
anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Damu (Leukemia) ambao umemfanya
ashindwe kusimama na kutembea, anasumbuliwa na maumivu ya kichwa wakati
wote, wakati mwingine hushindwa kupumua hivyo kulazimika kupumua kwa
kutumia mashine pia hawezi kula analishwa kwa kutumia mirija na pia kila
baada ya muda inabidi abadilishiwe damu.
MATIBABUMatibabu ya mtoto Hanifa ni ya gharama kubwa sana. Ugonjwa wake haukujulikana alipopelekwa Hospitali ya taifa Muhimbili lakini alipopelekwa nchini India gharama za uchunguzi pekee zilikuwa dola 7,600 ambapo mtoto Hanifa aligundulika kuwa na ugonjwa wa Acute lymphoblastic Leukemia. Matibabu yake yalipangwa yawe kwa awamu tatu ambapo awamu ya kwanza ya matibabu iligharimu dola 10,000. Mwisho wa awamu ya kwanza zilihitajika dola 10,000 zingine ili aingie kwenye awamu ya pili ya matibabu lakini uwezo wa ndugu na jamaa ulikuwa ndio umeishia hapo hivyo matibabu ya mtoto Hanifa yalilazimika kukatishwa na Hanifa kurudishwa Tanzania.
Ripoti za madaktari India zilipelekwa Muhimbili ambapo matibabu ya mtoto Hanifa yalipangwa kugharimu Tsh. milioni 2 kwa mwezi. Hakuna pesa za kumwezesha mtoto kuanza matibabu Muhimbili hivyo mtoto Hanifa amebaki nyumbani jijini Dar es Salaam akiwa kwenye hatari kubwa ya maambukizi mbalimbali ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yake.
Hadi sasa ndugu na jamaa wanahaha kutafuta pesa za kumwezesha mtoto Hanifa kumalizia awamu mbili za matibabu yake nchini India kama ikiwezekana au ikishindikana basi aweze kuanza matibabu Muhimbili.
MICHANGO
Kwa watakaopenda kujitolea kuokoa maisha ya Mtoto Hanifa wanaombwa watoe michango yao kupitia akaunti hizi
Kwa walio Tanzania
Jokha Khamis Issa Akaunti Namba: 041212000428
People Bank of Zanzibar

Kwa mawasiliano namba ya simu ni: +255 777 462587
Kwa walio nje ya Tanzania wanaweza kutuma michango yao kwa akaunti hii
Suleiman Maadini
Account Number: 15092968
Sort Code: 30-67-99
Bank: Lloyds TSB
Country: United Kingdom

Kwa mawasiliano na Bwana Maadini: +44 78 18674305
0 comments:
Post a Comment