SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, August 10, 2012

RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA AFUNGUA MKUTANO WA VYOMBO VYA HABARI WA AFRIKA MASHARIKI- KIGALI RWANDA

 Rais Kagame akihutubia washiriki wa Mkutano
  Rais Kagame akiwa katika jukwaa kuu
  Wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari kutoka Tanzania katika Mkutano huo.
 Rais Kagame akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Margaret Nantondo Zziwa.
 Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Shy-Rose Bhanji, baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa vyombo vya habari vya Afrika Mashariki katika Hoteli ya Serena mjini Kigali, Rwanda jana. 
Picha na Mukhatar Bolyao- EAC

0 comments:

Post a Comment