SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 1, 2012

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Mahakama ya Haki Za Binadamu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais, Dr Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili uwanja wa ndege jana usiku akitokea nchini Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko, aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.wengine ni Makamu wa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Sophia Akufo (wa pili kulia) na Jaji Nwanuri.
Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment