SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 4, 2012

Maadhimisho ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)

Fadhil Abdul akipamba bendera kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana ikiwa ni maandalizi ya maandamano (Dhafa) yatakayofanyika Jumamosi usiku katika mitaa mbalimbali ya jiji kusherehekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ambazo kitaifa zitafanyika Kilosa mkoani Morogoro. 
(Picha Habari leo).

0 comments:

Post a Comment