SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, January 27, 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WAANDAMANA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA WENZAO KUGONGWA NA MAGARI

Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es Salaam, wakiandamana leo katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi katika eneo hilo.
Picha na Hamisi Magendela

0 comments:

Post a Comment