SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, December 5, 2011

Vodacom Tanzania Yazindua Kampeni Ya Share and Care

Meneja wa kitengo cha m pesa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Nabwike Kibona akimtayarishia chai Ramadhani Abdalah ambae ni mtoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre cha Vingunguti  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi hamsini katika kampeni hiyo.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Mary Natema akiwanywesha  juisi baadhi ya watoto yatima waliohudhulia uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Meneja wa kitengo cha m pesa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Nabwike Kibona akiwahudumia watoto  yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre cha Vingunguti  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusioano wa Vodacom Tanzania akiongea jambo na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Stela Chiwango pamoja na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom Tanzania”Vodacom Foundation”Yessaya Mwakifulefule akitwishwa kiroba cha Maharage na Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa kampuni hiyo Matina Nkurlu kushoto na Meneja wa akaunti na usajili wa namba za simu Loius Maro,wakati wa kupakua mizigo hiyo tayari kwa kuwagawia msaada vituo mbalimbali vya watoto yatima jijini Dares salaam kwenye uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha magari George Madinda, akipakia baadhi ya misaada mbalimbali kwenye gari tayari kwa kupeleka kwenye vituo mbalimbali vya  watoto yatima vya jijini Dares Salaam hapo jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara wakibeba msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi wea Vodacom Tanzania wakati wa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo kitengo cha huduma kwa wateja.
Mtoto yatima wa kituo cha T.H.M.H cha Magomeni jijini Dare Salaam Rebeca Elias akiwa ameshikilia mbuzi mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango aliemshika begani na Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba watatu toka kulia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo kitengo cha huduma kwa wateja.
Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara jijini Dares Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia chakula baadhi ya watoto  yatima wa vituo mbalimbalivya jijini Dares Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza pamoja na watoto yatima wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Na H@ki Ngowi

0 comments:

Post a Comment