SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, December 2, 2011

Msanii Wa Siku Nyingi Afahamikae Kwa Jina La Abel Motika Almaarufu Mr.Ebbo Afariki Dunia!!!!

 
 Mr Ebbo enzi za uhai wake.
------------
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii aliyejizolea mashabiki wengi hapa nchini kwa staili ya muziki wake aliokuwa akifanya, Mr Ebbo ameaga dunia leo.
Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani jijini Arusha. 
Mtandao huu unatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wote wa muziki hapa nchini.
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahali Pema Peponi, AMIN.

0 comments:

Post a Comment