SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 25, 2011

Rais Kikwete Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi Wa Japan Na Balozi Wa Sudan

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan hapa nchini Mheshimiwa Yassir Mohamed Ali huko Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa Tanzania Mheshimiwa Masaki Okada mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho.
Picha na Freddy Maro/Ikulu

0 comments:

Post a Comment