Afisa
uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) akikabidhi mfano wa hundi
yenye thamani ya shilingi milioni tano kwa Naibu Mkuu wa Chuo cha
Uhandisi na Teknolojia UDSM, Prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia
semina maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya Chuo
Kikuu cha Dar es Salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Agosti 2011.
Kushoto ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi, Dk.Juma Mohamed.
Monday, August 8, 2011
Airtel Yadhamini Semina Maalum Ya Mainjinia UDSM
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Monday, August 08, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment