SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, June 12, 2011

VODACOM YAPENDEZESHA-ZANZIBAR MUSIC AWARD!!

Meneja wa Vodacom  Tanzania kanda ya Zanzibar Mohamed Mansour kulia akimkabidhi Tunzo Mwanamziki bora wa kiume wa nyimbo za kizazi kipya Juma Twenty kwenye Zanzibar Music Award,zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar na Mkurugenzi wa Zanzibar Media Corporation Seif Khatibu kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi  bora wa kike wa nyimbo za asilia Sada Mohamed mara baada ya kumkabidhi tunzo yake kwenye Zanzibar Music Award zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mjumbe wa NEC Aisha Kigoda kulia akimkabidhi Tunzo msani bora chipukizi wa kike  Sauna G kwenye Zanzibar Music Award zilizofanyika mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Aaah tamaduni zetu za mwambao hatuziachi kata kidogo kwenye Zanzibar Music Award tunaburudisha.
Baadhi ya masharobaroz walioudhuria Zanzibar Music Award.
Mwanamziki wa kizazi kipya Baby J akionyesha Tunzo yake ya pili mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Zenj Fm.

0 comments:

Post a Comment