SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 8, 2011

MKUTANO WA DIASPORA III WAMALIZIKA

URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za matukio katika Mkutano wa Diaspora lll uliomalizika jana tarehe 7/5/11.
Asante, 
URBAN PULSE CREATIVE.
 BaloziPeter Kallaghe akifunga forum.
Salum Shamte Kutoka kilimo kwanza.
 Hassan Katibu wa Zawa.
 Patricia toka TIC.
 Abu Faraji  kutoka Swift Freight.
 Oparesheni Meneja wa NSSF Mr. Magore.
  Daniel Mrutu – Kilimo Kwanza.
 Rehema Chuma akichangia mada.
Kutoka kushoto Frank, Baraka, Asha Baraka, Salum Shamte na Marium Baada ya Mkutano.
 Balozi akiwa na ugeni kutoka PPF.
Kutoka kushoto Wabunge  SANYA – CUF, KAMATA – CCM, na Balozi Kallaghe.
 Ally kondo Afisa mawasiliano Wizara ya  Mambo ya nje.
 Aron Luanga toka benki ya CBA.

0 comments:

Post a Comment