SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 8, 2011

VODACOM TANZANIA YAJA NA DSTV MOBILE

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said kushoto,Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea,wakimsikiliza Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa huduma ya DSTV Mobile kwa wateja wa Vodacom Tanzania inayopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G, huduma hiyo inatolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Dstv.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya  Dstv Mobile,huduma hiyo inapatikana kwa wateja wa Vodacom Tanzania kwa kupitia simu za mkononi zenye 3G,ambapo Vodacom na Dstv wameshirikiana kutoa huduma hiyo,kushoto Meneja Mkuu wa Dstv Felix Kyengo,Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said wa pili toka kushoto, Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo, Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea,wakionyesha simu zao jinsi huduma ya DSTV Mobile inavyofanya kazi mara baada ya Kaimu mkuu wa mkoa wa Dares Salaam kuizindua huduma hiyo rasmi inayopatikana kwa wateja wa Vodacom Tanzania kwa kupitia simu za kiganjani zenye 3G,huduma hiyo inatolewa na Vodacom kwa kushirikiana na Dstv.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said (katikati) akionyeshwa na Mkuu wakitengo cha huduma za mtandao wa mawasiliano wa kimataifa wa Vodacom Tanzania jinsi huduma ya DSTV Mobile inavyopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G za wateja wa kampuni hiyo kabla ya kuzindua rasmi huduma hiyo inayotolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na DSTV, kulia Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said wa pili toka kushoto akijadiliana jambo na Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo wakati wa uzinduzi wa huduma ya DSTV Mobile kwa wateja wa Vodacom Tanzania inayopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G, kulia Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea na Mkuu wakitengo cha huduma za mtandao wa mawasiliano wa kimataifa wa Vodacom Tanzania Candice Rato.

0 comments:

Post a Comment