SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 8, 2011

VODACOM FOUNDATION WATOA MSAADA WA MADAWATI 50 UNUNIO SHULE YA MSINGI

Afisa wa  mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom,(Vodacom Foundation) Grace Lyon akifurahia jambo na mwanafunzi wa darasa la kwanza Jamila Hamis wa  shule ya msingi ununio iliyopo kata ya kunduchi wilaya Kinondoni jijini Dares Salaam mara baada ya kukabidhi madawadi 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi million 4,wengine ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.

0 comments:

Post a Comment