SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 5, 2011

MISRI YATOA VIFAA VYA MATIBABU NA DAWA KWA JESHI LA POLISI

 
Balozi wa Misri nchini Tazania Bw. Wael Adel Nasr (kulia) akimkabidhi  mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Said Mwema vifaa vya matibabu na dawa zenye thamani ya dola za Marekani laki tano ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania zaidi ya milioni 700 kusaidia huduma za afya katika hospitali ya jeshi la polisi kikosi cha Afya makao makuu (Kilwa Road)ambayo huhudumia familia za askari na wananchi leo jijini Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment