SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 6, 2011

IZZO BIZZNESS AACHIA NGOMA MPYA!!!

Msanii anayewakilisha mkoa wa Mbeya katika muziki wa Bongo Flava Hip Hop Izzo Bizzness amedondosha ngoma yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la Rizi-One
Ngoma hii inamzungumzia kijana Rizi-One kwamba amepata nafasi ya kwenda kuzungumza na muheshimiwa na kumueleza mambo kadha kadha muhimu ili yaweze fanyiwa kazi kwa sababu Izzo yeye hawezi kupata nafasi yakuonana na muheshimiwa.
Sikiliza hapo chini kulia NEW BONGO FLAVA track no. 1.

0 comments:

Post a Comment