SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, December 19, 2010

TAMASHA LA VODACOM XXL AFTER SKUL BASH FUNIKA BOVU

Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom Miss XXL After scholl Bash,Amisa Hussein wa Sekondari ya Tandika ya jijini Dar lililowashilikisha wanafunzi wa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.katikati ni mtangazaji wa Clouds Tv Zamaradi Mketema.
Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom Mr XXL After school Bash,Karama Haji wa sekondari ya Tusiime katika shindano lililowashilikisha wanafunziwa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.kulia ni mtangazaji wa Clouds TV .Zamaladi Mketema.
Mwanamuziki mahiri Joe Makini akiwapagawisha wanafunzi waliofika katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach lililokuwa na lengo lakuwakutanisha wanafunzi wote katika kipindi hiki cha Likizo.
Msanii chipukizi kutoka kundi la Tip Top Connections Dogo Janja akiwarusha wanafunzi wa shule mbalimbali katika tamasha la Vodacom XXL After school Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach.likiwa limeandaliwa na Vodacom kwa kushirikiana na CLOUDS.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Mwasiti akikonga nyoyo wanafunzi wa shulembalimbali waliohudhulia katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika hotel ya Kunduch Beach

0 comments:

Post a Comment