SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, September 20, 2010


Mwamvita Makamba Awapia Msasa Wahitimu Wa Jitegemee Sekondari Jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkabidhi Mwanafunzi Anyelwisye Mwakibinga cheti cha kutambuliwa kama kiongozi bora wa Scout katika shule ya JKT Jitegemee kwenye mahafali ya 26 ya kidato cha nne shuleni hapo, wanaoshuhudia kulia ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo Meja Michael Mtenjele na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule Raymond Mpazi.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkabidhi Mwanafunzi Anyelwisye Mwakibinga cheti cha kutambuliwa kama kiongozi bora wa Scout katika shule ya JKT Jitegemee kwenye mahafali ya 26 ya kidato cha nne shuleni hapo, wanaoshuhudia kulia ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo Meja Michael Mtenjele na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule RaymondMpazi.
Baadhi ya wanafunzi wasichana wa JKT Jitegemee wa kidato cha Nne walioshiriki katika mahafali ya 26 yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.

0 comments:

Post a Comment