SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, August 21, 2010


Vodacom Yafuturisha Wadau
Wadau wa Channel 10 wakiwa katika futari ya vodacom hoteli ya MovenpickMtangazaji wa Times FM Diddah akisaka taswirazzzzz kwenye iftar hio
Wadau toka sehemu mbalimbali
Mwana libeneke Shamim Zeze (wa pili shoto) akiwa na wadau wa Vodacom
Toka shoto ni mdau Somoe Ng'itu wa Nipashe, Gea Habibu Chavda wa Clouds FM na Zena Chande wa Habari Leo
Bosi wa Vodacom Tanzania Bw. Mare akiwa na mmoja wa wageni wake mahususi
Ustaadh Mwakifulefule (shoto) akiwa na Maalim Temba (kati) na Ankal nanihii
Ustaadh Mwakifulefule (shoto) akiwa na maalim Temba (kati) na Alhaj Nanihii
Meza kuu
JKT Taarab wakitumbuiza kwa nyimbo za Abbas Mzee za bendi ya Egyptian kama vile 'Yatima', 'Ndoa' na 'Jirani'
Ustaadh Mwakifulefule akiwa na mmmoja wa wageni waalikwa muhimu
Ankal na wapiganaji wenzie wakitabaroukh...
Wadau wakijichana kama hawana akili nzuri
Meza kuu ya pili

0 comments:

Post a Comment