Viongozi wa serikali ya nchi
wanachama wa muungano wa IGAD wanaanza mkutano wa dharura muda mfupi
ujao mjini Adis Ababa Ethiopia kujadili hali ya kisiasa na kiusalama
nchini Somalia.
Viongozi hao wa IGAD wanataka wanajeshi wa umoja
wa mataifa kuchukua mahala pa wanajeshi wa muungano wa afrika ambao
wameshindwa kuthibiti hali hiyo nchini Somalia.
Vile mkutano huo unatajiwa kushinikiza wafadhili
waliokuwa wametoa ahadi ya kuisadia serikali ya Somalia, kutimiza ahadi
zao.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa mapendekezo kadhaa ambayo yatawasilishwa kwa mkutano wa wakuu wa vongozi wa serikali wa muungano wa afrika utakaoandaliwa baadaye mwezi huu.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa mapendekezo kadhaa ambayo yatawasilishwa kwa mkutano wa wakuu wa vongozi wa serikali wa muungano wa afrika utakaoandaliwa baadaye mwezi huu.
0 comments:
Post a Comment