SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, July 22, 2010


CHADEMA YAMTANGAZA RASMI DK. SLAA MGOMBEA WAKE WA URAIS LEO
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe akitangaza rasmi leo kuwa Kamati Kuu ya Chama hicho imemteua Katibu Mkuu wao Dk. Wilbroad Slaa kuwa mgombea wao wa Urais katika uchaguzi mkuu ujao katika mkutano na wanahabari makao makuu ya chama huko Kinondoni jijiniwaandishi na baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakimsikiliza Mh. Mbowe
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe akitoa ufafanuziw a jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa gazeti la MwanaHalisi Saeed Kubenea baada ya mkutano huo leo
Mh. Mbowe Akimtangaza Dk. Slaa Kuwa Mgombea Urais Kupitia CHADEMA

0 comments:

Post a Comment