Mama
Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha
mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women's Bank wakati Ms Margareth Chacha
alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki
ya akina mama.
Mchungaji Dr. Nicku Kyangu Mordi akianza kwa sala kabla ya mkutano kuanza.
Ms
Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank akiongea na
akina mama DMV siku ya Ijumaa April 11, 2014 na kuwapa faida ya kufungua
AC na Benk hiyo ikiwemo masharti nafuu ya mikopo na kuwaeleza Mabenki
mengine inakuwa vigumu kwa wanawake kupata mikopo na akatolea mfano wa
sharti moja wpo ni kuwa na nyumba kwa uzoefu wake nyumba nyingi Tanzania
zinakuwa kwa majina na waume zao kitu ambacho ni vigumu kwa wanawake
wengi kukidhi masharti ya mikopo. Kitu kingine alichoelezea ni kuamisha
pesa kupitia benki yao ni kwa haraka zaidi ukilinganisha na Benki
zingine.
Mkuu
wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily
Munanka akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank
kulia ni D.
Wanakina Mama DMV wakifuatilia maelezo kutoka kwa mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.
Asha na Mrs Mtalemwa wakifuatilia maelezo.
Mzee Safari ambaye alihudhuria mkutano huo kati ni Mama Kayani.
Wakina mama wa DMV wakiwa kwenye mkutano na Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.
Wakina mama wa DMV wakiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Tanzania Women's Bank
Wakina mama wa DMV wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.
CHANZO: SUFIANI MAFOTO