SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, June 11, 2010

WATOTO WA MADIBA WATOKA SARE NA MEXICO GOLI 1-1

Guillermo Franco of Mexico and Aaron Mokoena of South Africa 
battle for the ball
   Mechi ya ufunguzi leo kati ya SOUTH AFRIKA na MEXICO iliyofanyika katika kiwanja cha Soccer City Stadium Johannesburg 
   Haikuweza kuzaa matunda kwa wenyeji  baada ya kushindwa kuzitumia nafasi vyema ambazo zingeweza kuzaa matunda na kujikuta wakipoteza nafasi hizo na kukosa magoli mengi ya wazi. 
   Na hatimaye SOUTH AFRIKA wakijikuta wakitoka sare ya goli 1-1 na MEXICO, Goli hilo kwa upande wa wenyeji SAUZI lilifungwa na mchezaji SIPHIWE TSHABALALA mnamo dakika ya 55 na kwa upande wa mexico waliweza kurudisha bao hilo lililofungwa na mchezaji RAFAEL MARQUEZ mnamo dakika ya 79.
   Na katika mechi hiyo mchezaji SIPHIWE TSHABALALA alichaguliwa kuwa MAN OF THE MATCH
Siphiwe TSHABALALA
Midfielder
South Africa (RSA)StatisticsMexico (MEX)
9Shots14
5Shots on goal5
1Goals Scored1
17Fouls Committed13
11Fouls Suffered17
4Corner kicks5
12Free kicks Shots (scored)20
0 / 0Penalty Kicks (Goals/Shots)0 / 0
3Offsides6
0Own goals0
2Yellow cards2
0Second yellow card and red card0
0Red Cards0
29Actual playing time40
42%Possession (%)58%
Muandishi ALLY S. MGIDO'S

0 comments:

Post a Comment