SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, June 18, 2010

Serbia yainyamazisha Ujerumani

Safari ya Ujerumani katika fainali za kombe la dunia imeingia ugumu hii leo baada ya kufungwa na Serbia
  Golikipa wa Serbia Vladimir Stojkovic akiokoa mkwaju wa penalti 
uliyopigwa na Lukas Podolski, kulia
Golikipa wa Serbia Vladimir Stojkovic akiokoa mkwaju wa penalti uliyopigwa na Lukas Podolski, kulia
    Ujerumani ambayo ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi ya kutwaa kombe la dunia, leo imefungwa bao 1-0 na Serbia katika mechi ambayo ilishuhudia Ujerumani ikicheza na wachezaji kumi kwa muda mrefu wa mchezo.
   Ujerumani ambayo katika mechi ya kwanza iliifunga Australia mabao 4-0, ilishuhudia mchambuliajai wake Miroslva Klose akipewa kadi nyekundu, na pia Lukas Podoski akikosa penalti.
Mechi nyingine hii leo ni kati Marekani na Slovenia kabla ya Uingereza kucheza na Algeria

0 comments:

Post a Comment