SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 9, 2010

Nguzo hii inahatarisha Usalama wa Raia!!!Tanesco hamuoni?


Licha ya Tanesco kuondoa umeme katika nguzo hii lakini nyanya zake zilizolalia katika nyaya za nguzo nyingine ni hatari kwa usalama wa wapita njia katika eneo la Manzese Midizini Dar es Salaam kama ilivyoonekana jana,Hebu pata picha ianguke hapo...patakuwa hapatoshi!!!

0 comments:

Post a Comment