SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 10, 2010

breaking news Rage awa mwenyekiti mpya wa simba


Ismail Aden Rage (pichani) ameweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa timu ya Simba baada ya kushinda kwa idadi ya kura 785 dhidi ya mpinzani wake Hassan Hassanoo aliepata kura 435 na kumfanya Ismail Aden Rage kuwa Mwenyekiti mpya wa timu hiyo ya Simba SC katika uchaguzi uliofanyika usiku huu katika Bwalo la Maofisa wa Polisi lililopo  Oysterbay,jijini Dar.Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda moja kwa moja kwa Godfrey Nyange Kaburu ambaye amepita bila kupingwa.

0 comments:

Post a Comment