SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 10, 2010

Rais Karume akutana na msimamizi wa miradi ya maendeleo ya shirika la kimataifa la UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, (kulia) akisisitiza jambo baada ya mazungumzo yao na Msimamizi wa miradi ya maendeleo ya shirika la kimataifa la UNDP,Helen Clark alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).

0 comments:

Post a Comment