Bendi ya Jeshi la Wananchi
likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika viwanja vya Chimwaga kwaajili ya
Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa leo kwa
Wahitimu Mbalimbali kutunukiwa Shahada mbalimbali na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa.
Msafara wa Elimu ukienda
kwenye Viwanja Vya mahafali leo, mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
yaliyohitimishwa leo katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni
hapo



