Bwana
Ali Masoud au Maarufu kwa Jina la' Masoud Kipanya' na ambaye Mkurugenzi
Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia
uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013 Kingolwira Morogoro ,
pia kumkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Anthony
Mtaka kufanya uzinduzi huo.
Showing posts with label KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA. Show all posts
Showing posts with label KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA. Show all posts



